Je, ni kawaida kwa uume kuninginia pembeni?
Je uume wako unaninginiya upande mmoja? Likiwa ni hivi basi unapaswa kutoa shauku au wasiwasi kwa sababu si wewe pekee. Umbo, saizi na uwepo/kuwekwa wa uume wa mtu ni jambo la haja sana kwa marika na hata watu wazima.
Tukio hili laweza kumpa mtu masimango ambapo yafaa tusiwe na wasiwasi sababu maumbile yetu ni tofauti.
Si kawaida ya uume wa mtu kulalia upande mmoja isipokuwa umesinyaa au ukianza kuamka/kuzukwa.Ukawaida wa vile ubinadamu yafaa kuwa,hii inamanisha mwili wa binadamu unaeza kugaiwa kwa sehemu mbili zinazo fanana na kulingana kiumbo, au kimahesabu sawiya.
Hii utumika kwa anatomia ya sehemu nyeti pia ukizingatia vile mkono wako mmoja unaeza kuwa mrefu au mfupi kidogo ukilinganishwa na mwingine.Ukitumia kauli hiyo basi pia kuna ukawaida ya uume wa mtu kulalia upande mmoja.
Kwasababu tumelijuwa hilo, tutoe shaka wakati uume wako umelalia au kininginia upande mmoja.Maanake ni kawaida.
Fauka ya haya yote, kuna utofauti wa vile uume wako uninginiya au kulala.Uwepo wa maumivu, au uvimbe unaoendelea kukera basi kumtembela mtibabu wa afya adhibitishe usawa wako.Maanake kuna uwezekano uko na ugonjwa kama PEYROINE DISEASE . Kwa ubora zaidi ufanyiwe utafiti.
Tukumbukeni, uume ukibeta kidoga hauwezi kusababisha maumivu au kutatiza vile wewe unaeza kojoa au kufanya tendo la ngono/mapenzi na ikiwa hivyo hakuna haja yeyote ya matibabu.
Kwa mara kadhaa, tuzingatie pia kubadilika kwa vile uume wa mtu umeninginia ni jambo la kawaida ambalo alihitaji au thibitisho la ugonjwa wowote. Na kama ni swala la maunekano na utumizi, bora yake utafute ushauri kwa muhudumu wa afya au mtaalamu wa afya ya uzazi ujibiwe maswali yako.