Shocked african american woman reading leaflet before taking contraceptive pills, sitting on couch at home

Je, nafaa kutumia pill wakati huo huo kila siku?

Naitwa Umi na nafanya biashara ya kibanda cha chakula. siku yangu huanza saa kumi na moja asubuhi na mara nyingi huwa nina kazi nyingi sana. Mara nyingine husahau kuchukua kidonge hicho na kutumia kila siku. Je nisawa?

Kidonge iwapo kitachukuliwa kwa njia ifaayo kina uwezo wa kukukinga dhidi ya mimba. Kimetengezwa kwa jinsi kukinga dhidi ya kupata mayai. Kuifanya kuimarisha nyute za ukuta wa kizazi ili kuzuia mbegu za kiume kuingia na kuhifadhi hali za kawaida za homoni.

Pill poa inachukuliwa wakati mmoja kila siku. Hata hivyo unaeza kuichukua wakati wowote wakati wa siku, ila kuchukua wakati maalum inakusaidia kukumbuka. Kwa mfano kuchukua kabla kiamsha kinywa au kudoseĀ  inaeza kukurahisisha kukummbuka ikilinganishwa na masaa tofauti ya siku.

Licha ya kuwa semi hii wakati wowote inaeza kutoeleweka na kumaanisha vile inavyoweza kutumiwa, ni muhimu kukumbuka kuwakutumia sheria zifaazo za ratiba ya kutumia inaweza kupuguza jinsi inavyofanyakazi.

Kumbuka kuna kampuni nyingi za mbinu za kuzuia kuzuia mimba zinazopatikana sokoni.

Hakikisha kuwa unasomama agizo na kufuata kila ushauri wa matumizi ikizingatiwa kuwa kila kidonge kinatengezwa na kampuni tofauti.

Je nifanyeje kama nimesahau kutumia kidonge?

Mwongozo wa kutumia ni iwapo umesahau kuchukua kidonge chukua mara tu unapokumbuka. Iwapo utakosa hadi siku ifuatayo chukua vidonge viwili. Iwapo umeshakutumia kwa siku mbili chukua vidonge viwili na ukumbuke kutumia mbili siku ifuatayo. Utalazimika kutumia tena mwongozo. Ukikosa kutumia zaidi ya vidonge viwili, muite daktari wako.

Ukumbuke huu ni mwongozo ambao utamzungumzia daktari wako kwa ushauri wa kimatibabu.

Suala linahusiana na hilo: Nimesahau kutumia kidonge changu

Kwa Umi inapendekezwa kuangalia mbinu zingine ili kujikinga dhidi ya mimba za utotoni.

Pia sababu kama kutapika au kutumia dawa zingine zinaeza pia kuathiri hali yako ya kutumia dawa ikimaanisha unahitaji kuchukua tahadhari zaidi. Kama kutumia kondom.

Hatimaye kabla wakati na baada ya kutumia mbinu za kupanga uzazi ongea na mhudumu wako wa afya ili akushauri ili kushughulikia changamoto zozote.

Kabla ya kuondoka. Njia za kuzuia mimba zinaeza kukuzuia tu kupata mimba za mapema na wala sio magonjwa ya zinaa.

did you find this useful?

Tell us what you think

LoveMatters Africa

Blush-free facts and stories about love, sex, and relationships