Shocked african american woman reading leaflet before taking contraceptive pills, sitting on couch at home

Je naweza kumeza vidonge dhararu/E-pills kabla ya ngono?

Naeza kumeza vidonge zya dhararu/e-pills kabla ya kutiana?

Kidonge hicho cha dharura kinatakikana kutumika siku tano baada ya kufanya mapenzi bila kinga. Lakini Naomi anashangaa kama ni sawa kumeza hicho kidonge kabla ya ngono. Jee hilo ni sawa?

La hasha, hilo halipendekezwi

Kidonge hicho kimetengezwa kumezwa siku tano baada ya kutombana bila kinga na wanaotengezeza hawapendekezi kukimeza baada ya ngono.

Kuchukua hiyo E-pill kabla ya sex inaeza kuzuia boll zisizotarajiwa lakini hatujui.

Pia ukimeza kabla ya kukulana, unaeza amua kutumia mbinu bora kama vil mipira ya Kondomu..

Kiile kidonge cha Progestogen kinasimamisha uzalishajii wa mayai ya mke huku pia kikitoa homoni ambazo hufanya spamu kuwa ugumu wa kuogelea kuenda juu kufikia yai. Aidha umeze dozi mbili za miligramu 0.75 kila moja ambayo unafaa kutumia katika kipindi cha saa 12 au dozi moja.

Kadri muda unavyozidi kupita kabla ya kumeza vidonge vya Epills ndivyo pia unavyozidi kuzimaliza nguvu. Vidonge vitafanya kazi vyema iwapo vitatumiwa masaa 120 au siku tano baada ya kufanya ngono bila kinga. Iwapo vitamezwa baadaye yam da uliopendekzwa basi nafasi yako ya kupata mimba itakuwa juu.

Vidonge vya E-pills havifanyi kazi vizuri sana kwa wananawake wanene mno. Iwapo una BMI ya zaidi ya 35 inapendekewz utumie njia ya IUD yenye shaba kama mbinu ya kupanga uzazi.

Je hujui BMI yako? Tumia kakuleta  kujua.

Ikibidi vidonge vya Progestogen vinaweza tumiwa mara nyingi katika awamu moja , lakini haifai kutumiwa kawaida kama mbinu ya kupanga uzazi.Ili kupata mbinu za kupanga uzazi angalia sehemu ya mbinu za kupanga uzazi.

Kumbuka!

Unaeza kupata vidogne vya dharura vya kupanga uzazi mapema kabla ya kufanya ngono iwapo hautatumia kinga na iwapo unashuku kuwa mbinu za kupanga uzazi unazotumia kwa sasa huenda zikakufeli.

did you find this useful?

Tell us what you think

LoveMatters Africa

Blush-free facts and stories about love, sex, and relationships