Je, jamaa wangu anaeza kupush IUD wakati tunadinyana?
Janet alipotaka kuendelea kutumia kinga, alikuwa ameamua kuwa hangepata kutumia kifaa cha kujiingiza kwa tupu yake ya mbele.
Swahiba wake Sara alikuwa amemgusia kuwa hicho kifaa kingesongea wakati wa kudinywa na kupunguza uwezo wake wa kuzui boli. Je ni Kweli?
Kwanza kifaa hicho ni poa sana na ni njia poa ya kuzuia mimba ikiwa kitapachikwa na daktari au muuguzi aliyebobea.
Lakini kama Janet wanawake mob wanahofia kuwa hicho kitu itasonga wakati wa kukulana na kuongeza uwezekano wa kuget boll.
Uwezekano wa hili kutokea huwa ni finyu sana na labda ile haikuwekwa vizuri kwa mara ya kwanza
Kumbuka hii kitu inaekwa katika mfuko wa uzazi na sio kwa kuma.
Mboo au ile sex toy inaingia kwa kuma na sio kwa mfuko wa uzazi wakati wa kudinyana. Hii inaamana kuwa kukulana hakuwezi kuforce hicho kifaa kuondoka sehemu yake.
Je ni vipi kuhusu jinsi ya kudinyana? Ifahamike poa kuwa hata zile style mpya za kukulana na ujuzi wako hauta kisongeza hiki kitu au hata kuanguka kutokana na jinsi kimeepachikwa.
Hicho kifaa kimetengezwa na mambo kadhaa ili kuhakikisha kiko salama na swafi.
Wakati wa kutiana kule kusongasonga kunakoweza kusababishwa na kuitia mboo au hata kuchange eneo ambayo inaeza sababisha kamba kusonga kiasi . Lakini pia hurudi katika eneo lake baadaye.
Suala linalofunganamana na hili : Je jamaa wangu atafeel hicho kifaa cha kuzuia mimba
Utafiti umeonyesha kuwa hatari ya hivyo vifaa kutoka wakati wa kutombana ni kidogo mno, hasa kwa wale ambao wamewekewa na mhudumu wa afya mwenye ujuzi.
Iwapo unahofia kifaa hiki kusonga wakati wa kutiana ,unafaa kupata ushauri kutoka kwa mhudumu wa afya ili kukuhakikishia usalama wa kukitumia
Kiujumla, hakuna uwezekano wa hicho kifaa kutolea au kusonga wakati wa kudinyana, nafasi hiyo ni ndogo mno.
Kinasalia kuwa kifaa kinachotegemewa kama njia safi ya kuzuia mimba kwa kila mmoja.