Jamaa langu linaeza kufeel IUD wakati tunadinyana?
Je unahofu kuwa jamaa lako litagusa Kifaa cha Ndani cha Kizazi/IUD wakati wa kukudinya?
Kifaa hicho kinachopachikwa katika ndani ya uke ni kidogo chenye umbo la herufi ‘T’ ambacho hupachikwa mfuko wa uzazi ili kuzuia boll.
Kifaa hicho huingizwa ukeni na kuondolewa na mtaalamu wa matibabu.
Unajua umuhimu wa kifaa hiki ni kuwa iwapo kitaingizwa fresh ndani, unaeza sahau iwapo kiko, imagine. Hautakuwa na safari ya mara kwa mara katika kiliniki au kukumbushwa kuhusu kinga hiyo.
Unaeza dinywa mara nyingi vile wewe mwenye unataka bila ya kuhofia kupata boll.
Lakini tunapozungumzia kudinyana, hebu tuongee kuhusu kile kilochkuleta hapa.
Unajua wanawake wengi wanashangaa iwapo hiki kifaa/IUD kinaathiri kutombana kwao. Je mwenzako anaeza kuifeel mnapotombana.
Jawabu rahisi ni la hasha
Mwanzo kifaa hicho huingizwa katika mfuko wa uzazi sio kwa kuma. Hivyo hakuna vile inaeza shikana na uume/mjulus. Labda pengine mboo ni kubwa kama ya nyangumi ambayo ni futi 8 hadi 10 kwa urefu. Na hili liktokea itambidi kumuona daktari.
Je ni vipi kuhusu zile kambaa?
Kambaa hizo ni nyembamba na wanaume wengi hawatazihisi wakati wa kudinyana. Katika hali tata ambapo mwanaume anaeza kukufeel unaeza kumrudia daktari wako na kumuuliza iwapo kambaa zinaeza punguzwa.
Inaezekana kufeel hizo kamaa ikiwa zimeingizwa karibuni lakini muda pia unapozidi kuyoyoma kambaa hizo huzidi kuwa laini. Jinsi unavyozidi kuwa kifaa chako cha IUD ndivyo kambaa yako pia inazidi kuwa laini.
Na haya mathezo ya rafu nayo?
Madamu kifaa chako cha IUD kimeingizwa sawasawa hauna haja ya kujali. Ni nadra sana kwa kifaa hicho kuchomoka. (Daktari wako naita tukio hili Kufumukana).
Jiskie huru kukaa style poa kama vile ya wilbaro, 69, ya buibui, na spok na kadhalika.
Hata hivyo, iwapo wewe au mwenzako anaeza kufeel hicho kifaa mnapofanya mapenzi, iInaezekana kuwa kimesonga kutoka sehemu ambayo kiliwekwaa. Kama kimesonga unaeza sikia hali mbaya na pia unaeza kutokwa damu baada ya kutiana.
Katika hali kama hizi unafaa kumuona daktari mara hiyohiyo.
Kifaa ambacho kimeondoka mahali yake hakiwezi kukuzuia kupopata boll.
Unaeza pia tembelea kliniki ya Marie Stopes karibu nawe iili usaidike.
Ni wakati wako sasa unaeza uliza swali au utueleze uzoefu wako katika kifaa hiki cha IUD.