Baadaye alianza kuathirika kizazi yake hali iliyomlazimisha kutembelea kiutembelea daktari. Kuna dhana mbovu kuwa kuiosha vagina ni njia poa ya kuzuia mimba. Mimba hutokea kama sperms za mwanamume zimegusa mayai ya dem hayakufanyika katikati mpira wa kizazi na kusaisha kuma […]
Swahili
Hapa utapata nakala kwa lugha ya kiswahili
Je wanaume wanapaswa kukojoa baada ya ngono?
Je wao pia yafaa wakojoe baada ya tendo la ngono? Na hayo yote yana faida yeyote kwao? Hebu tulizungumzie hili jambo. Ukweli halisi ni kwamba, wanaume hawahitaji kukojoa baada ya tendo la ngono. Sababu kuu ni kuwa wanaume wana urethra/mrija […]
Sababu 3 unahisi kukojoa wakati wa ngono
Unaeza jisifia kwa makofi na kujipongeza kama limekutokea.sababu ya hili kufanyika ni mbili.kwanza ni kuwa ulisitisha tendo la ngono na kuenda msalani au pili,ulisusia na kuendelea na kufanya mapenzi.kuzingatia sababu zote mbili, kuhisi mkojo wakati wa ngono utokea kwa wanawake […]
Maumbo na ukubwa wa mboro au mjulusi
Ukiwa haujasimika, uume huwa na urefu wa kati ya sentimita 6 na 13. Iliyosimama kwa kawaida iko mahali Fulani urefu wa kati ya 7 na 17. Uume uliosimama wastani ni kama sentimita 12. Mjulusi mdogo hukua zaidi kwa saizi pindi […]
Je naweza kumeza vidonge dhararu/E-pills kabla ya ngono?
Kidonge hicho cha dharura kinatakikana kutumika siku tano baada ya kufanya mapenzi bila kinga. Lakini Naomi anashangaa kama ni sawa kumeza hicho kidonge kabla ya ngono. Jee hilo ni sawa?
Ukweli kuhusu mbinu za kupanga uzazi za dharura
Vidonge vya dharura/E-pills, ambazo pia zinaitwa Asubuhi baada ya shughli/morning after ama mbinu za dharura zakuzuia mimba ni dawa ambazo unaeza tumia kama mumekulana bila kinga kuzui kuzuia boll.
Je mfumo wa kutoa mjulus kabla kumwaga ni dhabiti?
Njia hii inataka mtu awe chonjo na timing yake na pengine uwe na bahati chungu nzima. Kutoa mjulus kabla kumwaga inamaanisha kutoa uume kutoka kwa tupu ya mke kabla ya kumwaga.
Jamaa langu linaeza kufeel IUD wakati tunadinyana?
Je unahofu kuwa jamaa lako litagusa Kifaa cha Ndani cha Kizazi/IUD wakati wa kukudinya?
Sababu nane za kuchelewa Kwa kunyesha
Unawasiwasi kwa kuwa umechelewa kunyesha alaa?. Usianze kuwekeza katika kununua vipande vya nguo, kukosa kunyesha au kuchelewa kunyesha kunasababishwa na sababu nyingi sana mbali na mimba.
Kwa nini wanawake hupiga kelele wakati wa kudinywa?
Ni wakati gani wanawake hutoa kelele nyingi wakati wa kukulana? Wakati wamefika kilele? Au mtu wao anakaribia kushusha? Jiandae Kwa ukweli!
Sababu 3 kuu unahisi kukojoa wakati wa kukulana
Wanawake, mmejisikia kukojoa wakati wa ile tendo tamu? Je, hii ni kawaida? Je Unapaswa kufanya nini?
Mbinu za kunyonya jongoo/uboo sawa
Kama wataka kumchizisha mwenzako, mnyonye!. Kunyonya jongoo huwa njia moja ya kupandisha hamu ya ngono na yaeza mpendeza anayenyonywa na yule anayenyonya pia.