8 reasons why sexuality education is important

8 reasons why sexuality education is important

As parents, we often think of conversations about sexuality and relationships as something awkward, routine or even harmful. Many of us even try to avoid the conversation altogether. If you need inspiration for why you should starting having these very […]

Maumbo na ukubwa wa mboro au mjulusi

Maumbo na ukubwa wa mboro au mjulusi

Ukiwa haujasimika, uume huwa na urefu wa kati ya sentimita 6 na 13. Iliyosimama kwa kawaida iko mahali Fulani urefu wa kati ya 7 na 17. Uume uliosimama wastani ni kama sentimita 12. Mjulusi mdogo hukua zaidi kwa saizi pindi […]

Ukweli kuhusu mbinu za kupanga uzazi za dharura

Ukweli kuhusu mbinu za kupanga uzazi za dharura

Vidonge vya dharura/E-pills, ambazo pia zinaitwa Asubuhi baada ya shughli/morning after ama mbinu za dharura zakuzuia mimba ni dawa ambazo unaeza tumia kama mumekulana  bila kinga kuzui kuzuia boll.

Sababu nane za kuchelewa Kwa kunyesha

Sababu nane za kuchelewa Kwa kunyesha

Unawasiwasi kwa kuwa umechelewa kunyesha alaa?. Usianze kuwekeza katika kununua vipande vya nguo, kukosa kunyesha au kuchelewa kunyesha kunasababishwa na sababu nyingi sana mbali na mimba.