pregnant woman hugging her big tummy,

Mda wangu wa kupata boli ni gani?

Wewe ukiwa wataka kupata boli kuna mambo mawili muhimu yakutia akilini. Wewe ukivunja mayai tu juwa kimeiva na mshambulizi akishambulia basi waweza pata mimba.

Pia kuna wale ambao kwa makini hufwatilia ratiba yao ya kunyesha ndio wajiepushe na boli.

Kusema ukweli,ni yai likivunja ndio waeza pata mimba wale wa kuhesabu ni siku 6-7 za kila mwezi.wengi watasema  ‘kipindi cha rotuba’ hapa ukifuma tu bila kuzingatia unakuwa mzazi

Wakati salama basi kwa mshambulizi ni ule mda ambao ni vigumu kwa mrembo kupata boli.  

Wakisema umevuja yai mwandada,ni kuwa ovari imeachila mayai

Kuelewa mda wa kunyesha/ kuvunja mayai (ovulation)

Ile siku yako ya kwanza wakati wa mwisho wa hedhi ndio inakamilisha mzunguko wako pia ufahamu fika ni kianzisho cha mda unaokuja. Madada  wetu ni vyema kujuwa kuwa kila hedhi yaani unanyesha siku tofauti na sio siku moja kila mwezi.

Mayai yakiachiliwa kutoka kwa ovari wakati wa hedhi,mayai yanasongea kwa mrija wa falopian na kuipa kizazi mayai.kama hili halitafanyika basi mayai huenda kwenye mfuko wa uzazi na kuacha tena wakati wako mwingine wa kunyesha.

Kule na wale wako kwa mviringo wa siku 28, kaa macho utanyesha mda wa siku 14 ndio unyeshe tena. Lakini tuko wengi wa kunyesha katikati ya 11-21 kwa mzunguko wako wa mwezi.

Ukinyesha kama leo, basi wewe unahitimu kupata boli kwa siku kama mbili zinazofwatia.Tunakuchanuwa, kusema mayai kukaa na uhai masaa 24 vinaezekana pindi yameachiliwa.

Mimba hupatikana Wewe ukipiga gemu kabla ya  siku zako za kunyesha, maanake siku zako za kupata mimba uanza 2-3 kabla ya kuvuja kwa mayai.

Kukadiria kufunja yai

Dada zanguni, hakuna ugumu wowote wakujua siku zako za kunyesha kila mwezi.wewe unatakiwa kuweka ishara machoni na pindu unapohisi wewe juwa mambo yamechemka. Ishara zinaeza kuwa hizi kwa watu wengi:

  • Hamu yakutaka kufanya ngono inapanda sana
  • Kuongezeka kwa joto mwilini sehemu ya BASAL
  •  Dada Sehemu  ya mashambulizi inatoka majimaji  yenye  yanafanana na nyute ya mayai.
  • Wale wa tumbo la period, lile lauma hapa chini ya tumbo.
did you find this useful?

Tell us what you think

LoveMatters Africa

Blush-free facts and stories about love, sex, and relationships