Je mbinu za upangaji uzazi zinaeza kupunguza mahanjam?
Cyrus dereva wa Uber kutoka jijini Mombasa ni miongoni mwa wanaume ambao wameelezea wengine kuhusu mbinu za upangaji wa uzazi ambao umeathiri mahusiano yao na wanadani wao. Yeye na wengine wanasisitiza hisia za wapenzi wao zimepungua tangu waliopanza kutumia vidonge kwa body.
Kwa hiyo je dawa za kuzuia mimba zinaeza athiri hisia na nguvu za kiume.
Kwanza dawa zote zina athari ambayo hujitokeza katika hali tofauti kwa watu mbalimbali.
Njia za kupanga uzazi kama dawa za homoni zinaeza kuathiri nguvu za kiume. Hii inatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Dawa hizi zinaweza kufanya kazi kwa kubadilisha kiwango cha homoni wakati wa kuzusia mimba.
Zikiwa ni njia mwafaka za kuzuia mimba zisizotarajiwa wengine wanaweza kukosa nguvu za kiume. Na hii inamaanisha inaeza kuongeza au kupunguza nguvu za kiume.
Mababadiliko ya homoni yanayosababishwa na vidonge yanaweza kukuathiri nguvu zako za kiume kwa njia mob kupungua kwa viwango vya mbegu za kiume ambayoinajukumukubwa la kuongezahisia, inawezakupunguzanguvu za kiume.
Pia masuala kama kubadilika kwa hali ya kimwili msongo wa Mawazo au hali hata ya kiakili ambayo husababishwa na matumizi ya vidonge vinaweza kuaffect hisia zako za kudinyana.
Hata hivyo ni muhimu kusema kuwasikila mmoja anapata mabadiliko ya nguvu za kiume anapotumia mbinu za kuzuia mimba. Wengi wataendelea kuwa na hamu ya kufanya mapenzi wanapotumia mbinu za kuzuia mimba. Kama una shida ya kutumia dawa za homoni ongea na daktari wako kuhusu mbinu mbadala za kutumia. Hii inaeza kuwa kutumia mbinu kama vile ya kutumia cd au kifaa cha cha kupachika katika mfuko wa kizazi IUD.
Nikimalizia ni muhimu iwapo anakabiliwa na upungufu wa nguvu za kiume pindi anapotumia mbinu za kuzuia mimba, anashauriwa kumweleza daktari wake ili kutafuta njia mbadala za kushughulikia suala hilo na pia kuimarisha hali yao ya kiafya.
Kwako sasa je umepiatia hali ya kubadilika kwa hisia zako za mapenzi unapotumia mbinu za kuzuia mimba.