Swahili

Hapa utapata nakala kwa lugha ya kiswahili

Mda wangu wa kupata boli ni gani?

Mda wangu wa kupata boli ni gani?

Wewe ukiwa wataka kupata boli kuna mambo mawili muhimu yakutia akilini. Wewe ukivunja mayai tu juwa kimeiva na mshambulizi akishambulia basi waweza pata mimba…

Ngono kupigika freshi inahitaji?

Ngono kupigika freshi inahitaji?

Kufanya ngono ile imeweza ni ile ambayo haiumuzi masela na ukiwa unapiga gemu, basi piga kitu ukutumia mbinu poa na uwe macho iskuletee kero la kuchomeka au kuchoma mtu na gonjwa la zinaa au pia kukanyaga waya.

Je, nahitaji kondomu kwa ngono ya mdomo?

Je, nahitaji kondomu kwa ngono ya mdomo?

Je, ulijua kwamba kondomu zenye ladha zilianzishwa kwa sababu maalum? Kondomu zenye ladha zinabuniwa kwa ajili ya matumizi wakati wa ngono ya mdomo. Ladha na harufu husaidia kuficha ladha ya lateksi.

Naweza kupata virusi vya ukimwi kupitia ngono ya mkundu?

Naweza kupata virusi vya ukimwi kupitia ngono ya mkundu?

NDIYO, unaweza kupata VVU kutokana na ngono ya haja kubwa. Ni moja ya njia hatari zaidi ya kupata VVU. Mshiriki anayepokea (chini) ana hatari zaidi kuliko mshiriki anayeingiza (juu), hii ni kwa sababu utando wa mkundu ni mwembamba na unaweza kuruhusu VVU kuingia mwilini wakati wa ngono.

Ni wakati gani sahihi wa kuanza ARV?

Ni wakati gani sahihi wa kuanza ARV?

Wakati sahihi wa kuanza kuchukua dawa za ARV ni mara tu unapogundua kuwa una virusi vya UKIMWI (HIV), bila kujali jinsi unavyoona kuwa ‘mwenye afya.’