Muda wa kipindi cha mwanya ni ule muda kati maambukizwa na muda wa virusi kuonekana kwa damu. Muda huo unategemea na aina ya kipimo kilichotumika. Kwa kipimo cha antigen / kingamwili kawaida muda huo huwa ni siku 18 hadi siku […]
Swahili
Hapa utapata nakala kwa lugha ya kiswahili
Je, ngono ya ponografia ni kweli?
Baadhi ya video za ngono zinafaa kuwa na ilani ya usijaribu hii ukiwa nyumbani. Maana mambo tunayoyaona waa!. Kutoka kwa mboro kubwa kubwa. Ngono inayoendelea kwa muda mrefu. Style za akrobati na wahusika ambao huwa washusha mara nyingi na miili […]
Kufikishwa kilele bila mshusho (dry orgasm)
Upeo wa kujamiana baridi hutokea haswaa pindi mwanaume anafika kwa upeo war aha ya kujamiana lakini yeye hatoi au kumwaga mshusho wowote. Upeo wa kujamiana baridi inaeza kuwa ni tukio la ghafla/ kwa mda au likawa la kudumu na vile […]
Je, ni kawaida kwa uume kuninginia pembeni?
Tukio hili laweza kumpa mtu masimango ambapo yafaa tusiwe na wasiwasi sababu maumbile yetu ni tofauti. Si kawaida ya uume wa mtu kulalia upande mmoja isipokuwa umesinyaa au ukianza kuamka/kuzukwa.Ukawaida wa vile ubinadamu yafaa kuwa,hii inamanisha mwili wa binadamu unaeza […]
Je, rangi ya shawawa/shahawa ni gani?
Utaalamu umedhibitisha kuwa rangi ya kawaida na iliyo ya sawa kwa SHAHAWA ni nyeupe nyepesi, hadi ya kijivu ambayo haijapasha,si kwa sana pia huwa na umanjano kwa mbali.Huu mchipuko inakadiriwa kuwa sawa na uchangizwa sana na; uzito za uzalishaji wa […]
Mbona ngozi yangu katika sehemu nyeti ni nyeusi mno yatofautiana na sehemu zingine za mwili?
Ngozi ilioko katika sehemu nyeti na maeneo hayo hii tukijumulisha mashavu/mdomo wa kuma, SCROTRUM/korodani na mkundu. hizi sehemu huwa na rangi yakupasha mno kuliko zile zingine mwilini.Inakuwa hivyo kwa kuwepo kwa idadi nyingi ya chembechembe ya melanini inayozalishwa na si […]
Je, naeza kuambukizwa Ukimwi nikiwa kwa PrEP?
PrEP hupunguza nafasi ya kuambukizwa VVU kwa kuzuia virusi vya UKIMWI kuingia mwilini mtu anapokutana navyo. Kulingana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), PrEP ni asilimia 99% yenye uwezo ikiwa inachukuliwa kama ilivyoelekezwa. Kwa wale wanajidunga/kujibwenga dawa za […]
Je, ni madhara gani yanayoweza kutokea kwa kutumia PrEP?
PrEP ni njia bora ya kuzuia virusi vya ukimwi, lakini kama dawa yoyote ile, inaweza kuwa na madhara. Ila kwa ujumla madhara yake ni madogo na ya muda. Athari hizi mara nyingi hupungua kadiri mwili unavyozoea dawa. Madhara ya kawaida […]
Je, muda wa kuishi kwa mtu mwenye virusi vya ukimwi ni upi?
Alipogunduliwa kwa mara ya kwanza katika kituo cha VCT huko Nyali, alihisi kama alikuwa amepewa kifungo cha kifo. Tangu wakati huo, amekosa usingizi, mara nyingi akiwa na wasiwasi ikiwa ataishi kutimiza ndoto zake. Ana maono ya kuendeleza elimu yake na […]
Je, nafaa kutumia pill wakati huo huo kila siku?
Kidonge iwapo kitachukuliwa kwa njia ifaayo kina uwezo wa kukukinga dhidi ya mimba. Kimetengezwa kwa jinsi kukinga dhidi ya kupata mayai. Kuifanya kuimarisha nyute za ukuta wa kizazi ili kuzuia mbegu za kiume kuingia na kuhifadhi hali za kawaida za […]
Je, ni kawaida kunyesha kusiko kwa kawaida kama unatumia Implant?
Implant ni kifaa kidogo cha kupachikwa mwilini na ambacho hupachikwa juu ya bega mkononi na kutoa homoni aina ya progestin ambayo huzuia mimba. Ni njia mwafaka ya kutumia ambayo inaweza kutumika kuzuia kizazi. Wengine wanaotumia vidonge vya kupachika wanaweza kupata […]
Je mbinu za upangaji uzazi zinaeza kupunguza h mahanjam?
Kwa hiyo je dawa za kuzuia mimba zinaeza athiri hisia na nguvu za kiume. Kwanza dawa zote zina athari ambayo hujitokeza katika hali tofauti kwa watu mbalimbali. Njia za kupanga uzazi kama dawa za homoni zinaeza kuathiri nguvu za kiume. […]