Kwa hiyo je dawa za kuzuia mimba zinaeza athiri hisia na nguvu za kiume. Kwanza dawa zote zina athari ambayo hujitokeza katika hali tofauti kwa watu mbalimbali. Njia za kupanga uzazi kama dawa za homoni zinaeza kuathiri nguvu za kiume. […]
Love Matters Kenya
Je kuosha kuma baada ya ngono je kunaeza zuia boll?
Baadaye alianza kuathirika kizazi yake hali iliyomlazimisha kutembelea kiutembelea daktari. Kuna dhana mbovu kuwa kuiosha vagina ni njia poa ya kuzuia mimba. Mimba hutokea kama sperms za mwanamume zimegusa mayai ya dem hayakufanyika katikati mpira wa kizazi na kusaisha kuma […]
Mbona damu hutoa harufu ya chuma wakati wa hedhi?
Wakati ni wa hedhi/kuvuja, uko pale ukibadilisha padi/sodo, tamponi au menstrual cup unapigwa na harufu tatanishi kutoka katika sehemu zako nyeti . Ni harufu ambayo umeizoea baadaye unaskia ikinuka kama chuma .la kushangaza,wewe mwenyewe ni mtu safi na mnuko huo […]
Je wanaume wanapaswa kukojoa baada ya ngono?
Je wao pia yafaa wakojoe baada ya tendo la ngono? Na hayo yote yana faida yeyote kwao? Hebu tulizungumzie hili jambo. Ukweli halisi ni kwamba, wanaume hawahitaji kukojoa baada ya tendo la ngono. Sababu kuu ni kuwa wanaume wana urethra/mrija […]
Sababu 3 unahisi kukojoa wakati wa ngono
Unaeza jisifia kwa makofi na kujipongeza kama limekutokea.sababu ya hili kufanyika ni mbili.kwanza ni kuwa ulisitisha tendo la ngono na kuenda msalani au pili,ulisusia na kuendelea na kufanya mapenzi.kuzingatia sababu zote mbili, kuhisi mkojo wakati wa ngono utokea kwa wanawake […]
Sababu 3 unahisi kukojoa wakati wa ngono
Unaeza jisifia kwa makofi na kujipongeza kama limekutokea.sababu ya hili kufanyika ni mbili.kwanza ni kuwa ulisitisha tendo la ngono na kuenda msalani au pili,ulisusia na kuendelea na kufanya mapenzi.kuzingatia sababu zote mbili, kuhisi mkojo wakati wa ngono utokea kwa wanawake […]
Je, jamaa wangu anaeza kupush IUD wakati tunadinyana?
Swahiba wake Sara alikuwa amemgusia kuwa hicho kifaa kingesongea wakati wa kudinywa na kupunguza uwezo wake wa kuzui boli. Je ni Kweli? Kwanza kifaa hicho ni poa sana na ni njia poa ya kuzuia mimba ikiwa kitapachikwa na daktari au […]
Chiloba’s death let me know I’m f*cked
The continued violence against the LGBTIQA community has sparked deep feelings of vulnerability, rage, and terror in me. Every news report of a vicious assault or murder in our community is very personal to me and has an impact on […]
How Mokeira is making the world a better place for LGBTQ+ in Kisii
Mokeira’s tale unfolds; a testament to resilience and advocacy, against the vibrant backdrop of Kisii. In the heartland of Kisii, Mokeira’s journey was far from smooth. Raised in a small village where homosexuality was a foreign and forbidden concept, they […]
I am gay, disabled, and jolly: Here’s my story
This stage of my life was filled with extreme challenges. The challenges were not only physical but also mental as I was negotiating my sexual orientation. I am a gay man living in a society that often hates LGBTIQA+ people […]
What do morning erections say about my health?
So, what message is your body sending you through morning erections? Here’s what morning erections may signify: 1. Healthy erectile function: Morning erections are a sign that blood flow and nerve function to the penis are intact and functioning well. […]
What does it mean if I don’t get morning erections?
Morning erections, also known as morning wood or nocturnal penile tumescence (NPT), are erections that happen in your sleep. Contrary to popular belief, they are not necessarily a result of sexual arousal or dreams. They are a normal and healthy […]