Je, naeza kuambukizwa Ukimwi nikiwa kwa PrEP?
PrEP hupunguza nafasi ya kuambukizwa VVU kwa kuzuia virusi vya UKIMWI kuingia mwilini mtu anapokutana navyo. Kulingana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), PrEP ni asilimia 99% yenye uwezo ikiwa inachukuliwa kama ilivyoelekezwa. Kwa wale wanajidunga/kujibwenga dawa za […]