Top Facts

Millions of facts about sex and love exist out there. So what are the most important? We break down love, sex, and relationships into easy bits of important information.

Je, ni madhara gani yanayoweza kutokea kwa kutumia PrEP?

Je, ni madhara gani yanayoweza kutokea kwa kutumia PrEP?

PrEP ni njia bora ya kuzuia virusi vya ukimwi, lakini kama dawa yoyote ile, inaweza kuwa na madhara. Ila kwa ujumla madhara yake ni madogo na ya muda. Athari hizi mara nyingi hupungua kadiri mwili unavyozoea dawa. Madhara ya kawaida […]

Je,  muda wa kuishi kwa mtu mwenye virusi vya ukimwi ni upi?

Je,  muda wa kuishi kwa mtu mwenye virusi vya ukimwi ni upi?

Alipogunduliwa kwa mara ya kwanza katika kituo cha VCT huko Nyali, alihisi kama alikuwa amepewa kifungo cha kifo. Tangu wakati huo, amekosa usingizi, mara nyingi akiwa na wasiwasi ikiwa ataishi kutimiza ndoto zake. Ana maono ya kuendeleza elimu yake na […]

Je, nafaa kutumia pill wakati huo huo kila siku?

Je, nafaa kutumia pill wakati huo huo kila siku?

Kidonge iwapo kitachukuliwa kwa njia ifaayo kina uwezo wa kukukinga dhidi ya mimba. Kimetengezwa kwa jinsi kukinga dhidi ya kupata mayai. Kuifanya kuimarisha nyute za ukuta wa kizazi ili kuzuia mbegu za kiume kuingia na kuhifadhi hali za kawaida za […]

Je, ni kawaida kunyesha kusiko kwa kawaida kama unatumia Implant?

Je, ni kawaida kunyesha kusiko kwa kawaida kama unatumia Implant?

Implant ni kifaa kidogo cha kupachikwa mwilini na ambacho hupachikwa juu ya bega mkononi na kutoa homoni aina ya progestin ambayo huzuia mimba. Ni njia mwafaka ya kutumia ambayo inaweza kutumika kuzuia kizazi. Wengine wanaotumia vidonge vya kupachika wanaweza kupata […]

Je mbinu za upangaji uzazi zinaeza kupunguza h mahanjam?

Je mbinu za upangaji uzazi zinaeza kupunguza h mahanjam?

Kwa hiyo je dawa za kuzuia mimba zinaeza athiri hisia na nguvu za kiume. Kwanza dawa zote zina athari ambayo hujitokeza katika hali tofauti kwa watu mbalimbali. Njia za kupanga uzazi kama dawa za homoni zinaeza kuathiri nguvu za kiume. […]

Je kuosha kuma baada ya ngono je kunaeza zuia boll?

Je kuosha kuma baada ya ngono je kunaeza zuia boll?

Baadaye alianza kuathirika kizazi yake hali iliyomlazimisha kutembelea kiutembelea daktari. Kuna dhana mbovu kuwa kuiosha vagina ni njia poa ya kuzuia mimba. Mimba hutokea kama sperms za mwanamume zimegusa mayai ya dem  hayakufanyika katikati mpira wa kizazi na kusaisha kuma […]

Mbona damu hutoa harufu ya chuma wakati wa hedhi?

Mbona damu hutoa harufu ya chuma wakati wa hedhi?

Wakati ni wa hedhi/kuvuja, uko pale ukibadilisha padi/sodo, tamponi au menstrual cup unapigwa na harufu tatanishi kutoka katika sehemu zako nyeti . Ni harufu ambayo umeizoea  baadaye unaskia ikinuka kama chuma .la kushangaza,wewe mwenyewe ni mtu safi na mnuko huo […]

Je wanaume wanapaswa kukojoa baada ya ngono?

Je wanaume wanapaswa kukojoa baada ya ngono?

Je wao pia yafaa wakojoe baada ya tendo la ngono? Na hayo yote yana faida yeyote  kwao? Hebu tulizungumzie hili jambo. Ukweli halisi ni kwamba, wanaume hawahitaji kukojoa baada ya tendo la ngono. Sababu kuu ni kuwa wanaume wana urethra/mrija […]

Sababu 3 unahisi kukojoa wakati wa ngono

Sababu 3 unahisi kukojoa wakati wa ngono

Unaeza jisifia kwa makofi na kujipongeza kama limekutokea.sababu ya hili kufanyika ni mbili.kwanza ni kuwa ulisitisha tendo la ngono na kuenda msalani au pili,ulisusia na kuendelea na kufanya mapenzi.kuzingatia sababu zote mbili, kuhisi mkojo wakati wa ngono utokea kwa wanawake […]

Je, jamaa wangu anaeza kupush IUD wakati tunadinyana?

Je, jamaa wangu anaeza kupush IUD wakati tunadinyana?

Swahiba wake Sara alikuwa amemgusia kuwa hicho kifaa kingesongea wakati wa kudinywa na kupunguza uwezo wake wa kuzui boli. Je ni Kweli? Kwanza kifaa hicho ni poa sana na ni njia poa ya kuzuia mimba ikiwa kitapachikwa na daktari au […]

How it’s like being a bisexual in Kenya: my personal story

How it’s like being a bisexual in Kenya: my personal story

Embracing my sexuality has been a significant personal challenge and long journey of self-acceptance and understanding. It has involved unlearning societal norms and embracing the full spectrum of my identity, regardless of the labels and expectations. Balancing attraction to multiple […]