Vidonge vya dharura/E-pills, ambazo pia zinaitwa Asubuhi baada ya shughli/morning after ama mbinu za dharura zakuzuia mimba ni dawa ambazo unaeza tumia kama mumekulana bila kinga kuzui kuzuia boll.
Top Facts
Millions of facts about sex and love exist out there. So what are the most important? We break down love, sex, and relationships into easy bits of important information.
Je mfumo wa kutoa mjulus kabla kumwaga ni dhabiti?
Njia hii inataka mtu awe chonjo na timing yake na pengine uwe na bahati chungu nzima. Kutoa mjulus kabla kumwaga inamaanisha kutoa uume kutoka kwa tupu ya mke kabla ya kumwaga.
Jamaa langu linaeza kufeel IUD wakati tunadinyana?
Je unahofu kuwa jamaa lako litagusa Kifaa cha Ndani cha Kizazi/IUD wakati wa kukudinya?
Sababu nane za kuchelewa Kwa kunyesha
Unawasiwasi kwa kuwa umechelewa kunyesha alaa?. Usianze kuwekeza katika kununua vipande vya nguo, kukosa kunyesha au kuchelewa kunyesha kunasababishwa na sababu nyingi sana mbali na mimba.
Kwa nini wanawake hupiga kelele wakati wa kudinywa?
Ni wakati gani wanawake hutoa kelele nyingi wakati wa kukulana? Wakati wamefika kilele? Au mtu wao anakaribia kushusha? Jiandae Kwa ukweli!
Sababu 3 kuu unahisi kukojoa wakati wa kukulana
Wanawake, mmejisikia kukojoa wakati wa ile tendo tamu? Je, hii ni kawaida? Je Unapaswa kufanya nini?
Mbinu za kunyonya jongoo/uboo sawa
Kama wataka kumchizisha mwenzako, mnyonye!. Kunyonya jongoo huwa njia moja ya kupandisha hamu ya ngono na yaeza mpendeza anayenyonywa na yule anayenyonya pia.
Nini husababisha uchache wa mbegu za kiume?
Ni mbegu moja tu ya kiume ambayo hutumika kupatana na yai la mwanamke, japo huwa tunakosa kuamini hili kwani wakati mwingine ni vigumu mbegu hio kufikia yai la mwanamke.
Sisi wakufanya ngono ya mdomo je ubikira tunao?
Nilijikanya sana kuwa mimi, sipeani vitu mapaka ile siku nitasikia nimeiva na niko tayari kwa gemu, Mimi nitabaki na ubikira wangu.
Niko na boli. Je nifanyeje?
Wewe ukifanya ngono bila ya kujikinga we juwa tu kuna uwezekano boli itaingia. Na ukipata hiyo mimba utafanyaje?
Njia za kuujali Ujauzito ukiwa na virusi vinavyo sababisha ukimwi
Ukiwa unaishi na virusi vya ukimwi na uboli juu, tena unataka kuanzisha jamii yako, nibora kuwa na uamakini sana kujikinga na mtoto wako aliye tumboni.
Mda wangu wa kupata boli ni gani?
Wewe ukiwa wataka kupata boli kuna mambo mawili muhimu yakutia akilini. Wewe ukivunja mayai tu juwa kimeiva na mshambulizi akishambulia basi waweza pata mimba…